Manchester United wapo katika mazungumzo na klabu ya Atletico Madrid juu ya uhamisho wa Jan Oblak.
Manchester UNited wanatafuta golikipa mwenye uwezo wa juu huku David De Gea akiwa mbioni kuelekea Real Madrid. Majina mengi yamekuwa yakitajwa na kuhusishwa na Manchester United,lakini goilikipa wa Atletico Oblak anaonekana kupewa kipaumbele na Manchester United, huku gazeti la AS likiripoti kuwa mazun gumzo juu ya uhamisho wa mchezaji huyo yana endelea.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alianza msimu wake wakwanza mwaka jana katika ligi ya La Liga mwaka jana akiwa na klabu yake ya Atletico akitokea Benifica.
Atletico watakua tayari kufanya biashara na Manchester United endapo tu watakubali kutoa kiasi cha milioni £32.3 ambacho kimewekwa katika mkataba wake kama bei ya kuuziwa golikipa huyo.
-Yapi maoni yako juu ya usajili wa Oblak?

0 comments :
Post a Comment