TETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA 03.07.2015
Manchester United hawatobadili msimamo wao kuhusu bei ya pauni milioni 35 waliyoweka kwa kipa David De Gea licha ya taarifa kutoka Spain zinazosema Old Trafford wameshusha bei hadi pauni milioni 25 (Daily Mirror), De Gea mwenyewe amesema uhamisho wake kwenda Real Madrid bado haujakamilika licha ya kwenda mjini Madrid siku ya Alhamis, akisema amekwenda "kupumzika" (AS), beki Antonio Rudiger, 22 anayesakwa na Chelsea atajiunga na Wolfsburg (Kicker), Stoke wanamtaka Victor Moses, 24, Patrick Bamford, 21 au kiungo Ruben Loftus-Cheek kwa mkopo kutoka Chelsea na hiyo ni juu ya pauni milioni nane ambazo Chelsea wanataka kutoa kumchukua kipa Asmir Begovic, 28 (Sun), Manchester United watajaribu kuishawishi Everton kuwauzia beki wa kulia Seamus Coleman, 26, kwa kubadilishana na Jonny Evans katika mkataba huo (Daily Star), Tottenham wanamtaka kiungo wa Everton James McCarthy, 24 na huenda wakawapa Aaron Lennon au beki wa kati Younes Kaboul, 29 (Daily Mail), kiungo wa Atletico Madrid Arda Turan, ambaye amehusishwa na Chelsea na Manchester United amekanusha kupitia Twitter kuwa anakaribia kwenda Barcelona. Manchester United wametoa dau la takriban pauni milioni 20 kumtaka kiungo wa Southampton Morgan Schneiderlin, 25 (Manchester Evening News), meneja wa Newcastle Steve McClaren amepuuzia taarifa zinazosema Mario Balotelli, 24 anakwenda Newcastle (Daily Star), Monaco na Sevilla zinamtaka kiungo wa Stoke Steven Nzonzi, 26 (Daily Mirror), Leicester wanadhaniwa kumtaka meneja Guus Hiddink, ambaye amejiuzulu huvi karibuni kuifundisha timu ya taifa ya Uholanzi (Leicester Mercury), meneja wa Bayern Munich, Pep Guardiola amesema klabu yake haina mpango wa kumsajili winga Angel Di Maria kutoka Manchester United (TalkSport), Real Sociedad wanajiandaa kutaka kumsajili mshambuliaji wa Arsenal Joel Campbell, 23 (Times). Share tetesi hizi na wapenda soka wote. Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. Cheers!

0 comments :
Post a Comment