Ziko stori nyingi toka jana mitandaoni,
wapo waliopata taarifa pia kwamba chama cha CUF kimejitoa kwenye Umoja
wa UKAWA, lakini hakuna msemaji rasmi aliyezungumzia ishu hiyo.
UKAWA jana walikutana na Colosseum Hotel Dar, katika moja ya post zilizowekwa kwenye Ukurasa wa @Twitter
wa Chama cha CHADEMA waliandika kwamba Mjadala wao haukuhusu nafasi ya
Mgombea Urais pekeake ila ilikuwepo ishu ya Majimbo 26 ambayo NEC
walitangaza kwamba yameongezwa kwenye Uchaguzi mwaka huu.
Magazeti ya leo July 15 2015 yana
headlines pia kuhusu stori ya UKAWA kuamua kwamba watamtangaza Mgombea
wao ndani ya wiki moja kuanzia sasa.. Ukurasa wa @Twitter wa Gazeti la
MWANANCHI wameandika pia mwendelezo wa hiyo stori kuhusu ishu ya
Viongozi wa CUF kutoshiriki kwenye Mkutano wa UKAWA jana.
Tweet1 >>>> “Mkutano wa Tweet2 >>>> “
Tweet3 >>>> “
Tweet4 >>>> “
0 comments :
Post a Comment