Mshambuliaji
kinda wa Arsenal, Chuba Akpom akishangilia na mchezaji mwenzake, Alex
Iwobi baada ya kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa 4-0
dhidi ya Singapore Select XI leo. Bao lingine la Arsenal katika michuano
hiyo ya Barclays Asia Trophy kujiandaa na msimu mpya lilifungwa na Jack
Wilshere kwa penalti, baada ya Mathieu
Debuchy kujikwaa mwenyewe kwenye boksi. Arsenal itamenyana na Everton
katika mchezo wa mwisho wa Barclays Asia Trophy baada ya kuifunga Stoke
City kwa penalti. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment