-->

ALICHOKIANDIKA MWIGULU NCHEMBA KUHUSU KUCHAGULIWA KWA MAGUFULI KUWA MGOMBEA WA URAISI WA CCM

Nawashukuru Watanzania wote kwa ujumla wenu kwa Ushirikiano,Imani,Upendo na Umoja mliouonesha kwangu wakati wote wa Mchakato wa kuteuliwa kuwania nafasi ya Urais kwa Chama changu cha Mapinduzi.
Mchakato umemalizika salama,CCM ikiwa na Umoja na mshikamano,Nampongeza sana kaka yangu J.P.Magufuli kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi kwenye uchaguzi mkuu Mwaka huu.Ninaimani kubwa kuwa wakati wa Mabadiliko kwa Vitendo umefika na Taifa letu litapiga hatua kubwa zaidi ya hii kwenye Maendeleo.
Naomba tuendelee kushirikiana,kupigania Uchumi wa Taifa letu ufike kipato cha kati.
Kidumu Chama cha Mapinduzi
‪#‎UMOJANIUSHINDI‬
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment