Vikosi
vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wameyashambulia tena jana usiku
katika vituo muhimu yaliopo mji wa Kismaayo huko kukiwa na ziara ya
kiongozi wa Serikali ya TFG ya Somalia Hassan Sheikh Mahamud.
Habari kutoka mji mkuu wa Mkoa wa Lower Jubba Kismaayo zinaeleza kuwa Mashambulizi mapya yameibuka na Magari za Kijeshi za Mujahidina zilishiriki kwenye mapambano hayo makali yaliofanyika katika kambi za wanajeshi wa Kenya ya Jama'ada Kismaayo na Ikulu ya Rais.
Mwandishi wa Habari aliyopo mji wa Kismaayo amesema aliskia milio ya silaha nzito zilizorushwa kuelekea kwenye kasri ya Kiongozi huyo wa TFG iliyopo mji wa Kismaayo.
CHANZO:SOMALI MEMO

0 comments :
Post a Comment