-->

MBUNGE WA ARUMERU MASHARUKI JOSHUA NASARI APATA AJALI AKIWA NA HELKOPTA


Helkopta ikiwa imeanguka leo

Mbunge wa Arumeru Mashariki,mkoani Arusha Joshua Nassari akiwa na helkopta yake( Picha kutoka maktaba ya Malunde1 blog)

Mbunge wa Arumeru Mashariki,mkoani Arusha Joshua Nassari amepata ajali ya helkopta aliyokua anaitumia kufanya ziara katika jimbo lake.

Habari za awali tulizozipata ni kwamba mbunge huyo wa Chadema Joshua Nassari amenusurika kufa baada ya Helkopta aliyokuwa anaitumia kuanguka baada ya kunasa kwenye mti baada ya kupotea kwenye mawingu.


Aidha taarifa hizo zinaeleza kuwa Mbunge huyo kwa Tiketi ya Chadema, na rubani wake walitoka wakiwa wazima na wapo katika Hospitali ya Kanila la Kilutheri ya Selian ya jijini Arusha.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment