Chui ni mnyama hatari na hana urafiki wa
kudumu kwa binadamu lakini katika tukio la mnyama huyo la kutumbukia
katika kisima cha maji ililazimika kupunguza masharti ya ukali wake ili
binadamu aweze kumuokoa na janga la kifo.
Hapa anaonekana binadamu akipanda ngazi huku akiwa amembeba chui huyobaada ya kumuokoa katika maji ya kisima ili amtoe nje aendelee na maisha yake ya kawaida.
Kumbe tuona namna tunavyoweza kuwasaidia wanyama wakali pindi na wao wanapopatwa na majanga hasa yanayoweza kupelekea kifo kwani na wao wanatambua kipindi hicho wanahitaji msaada kutoka kwa adui yake.
Chui akiwa kwenye kisimaMwanaume mmoja kutoka katika kijiji cha Guwahati nchini India amemuokoa chui kutoka kwenye kisima ambako alikuwa amedumbukia.
Angalia picha jinsi ilivyokuwa:
Wananchi wakijitahidi kumvuta mwanaume huyo ili atoke salama na chui.

0 comments :
Post a Comment