-->

HIKI NDIO KITUKO KILICHOTOKE KATIKA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM


mkutano wa halmashauri kuuBaada ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM, kuingia ukumbini mjini Dodoma mchana huu wakiongozwa na mwenyekiti wake Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, viongozi wenzake, baadhi ya wajumbe wamesikika wakiimba “Tunaimani na Lowassa”.
Endelea kufuatilia habari zetu.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment