Baada ya kuenguliwa kwenye kinyanganyiro cha mbio za urais waziri mkuu
wa zamani Mh Edward Lowasa amewasili jimboni kwake Monduli na
kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura huku akipokelewa na makundi
ya vijana wakiwemo wa vyama vya upinzani.
JE UNADHANI LOWASA ATAHAMIA CHADEMA?
JE UNADHANI LOWASA ATAHAMIA CHADEMA?
0 comments :
Post a Comment