Leo hii bungeni kulitokea mshike mshike mkubwa baada ya amri ya kutolewa nje kwa Freeman Mbowe kutoka kwa naibu spika wa bunge kugomewa na mheshiwa huyo,hali iliyopelekea maaskari wa bunge kuamrishwa kumtoa nje na wabunge wa chadema kujaribu kumkingia kifua ili abaki.Hali hiyo ndiyo inasemekana imepelekea kuleta vurumai kama inavyoonekana katika picha.....soma hapa ujue nini sababu ya kutolewa nje FREEMAN MBOWE
MSHUDIE MHESHIWA JOSEPH MBILINYI AKITOLEWA KATIKA VURUGU ZA BUNGE LEO HII
Leo hii bungeni kulitokea mshike mshike mkubwa baada ya amri ya kutolewa nje kwa Freeman Mbowe kutoka kwa naibu spika wa bunge kugomewa na mheshiwa huyo,hali iliyopelekea maaskari wa bunge kuamrishwa kumtoa nje na wabunge wa chadema kujaribu kumkingia kifua ili abaki.Hali hiyo ndiyo inasemekana imepelekea kuleta vurumai kama inavyoonekana katika picha.....soma hapa ujue nini sababu ya kutolewa nje FREEMAN MBOWE
0 comments :
Post a Comment