Nchini Nigeria katika jiji la Lagos katika mtaa wa Adetola Adelaja katiak mida ya saa saba mchana mwanaume mmoja aliefahamika kwa jina la Chris Elvis amemuua mwanae Godrich kwa kipigo kikali kilichopelekea umauti wa mtoto huyo kwa madai ya kwamba mtoto huyo alikuwa Ogbanje(mtoto muovu).Baba huyo alimfunga mwanae mdomo kwa kutumia kufuli ili atakapoanza kumpiga kelele za kilio chake kisisikike kwa majirani.Kisha akaanza kumpiga kwa chombo ambacho kilimkata mtoto huyo katika sehemu kubwa ya mwili wake.Dada wa mtoto huyo Mrs Popoolaa likuwa sokoni na ndipo alipopatiwa taarifa hizo na kuamua kugeuza haraka kuwahi nyumbani ingawaje alikuta tayari maji yashamwagika kwani mtoto huyo alikuwa tayari kashapoteza maisha.Dada huyo alikwenda kutoa taarifa kituo cha polisi cha Meirani Police Station.Askari baada ya kupata taarifa na walifika kwenye eneo la tukio na kumkuta baba wa mtoto huyo akiwa anajiandaa kutoroka,Alipoulizwa alikana na kugoma kufungua mlango ambao alimfungia mtoto huyo ambaye alimuua yeye mwenyewe.
BABA AMFUNGA MDOMO MTOTO WAKE NA KUFULI KISHA KUMPIGA MPAKA KUFA

0 comments :
Post a Comment