Gavana wa
shirika la Lions Club nchini bwana Wilson Ndesanjo akimvika Raisi
JKmedali maalum ya uongozi Bora na mahusiano mema wakati wa hafla fupi
iliyofanyika ikulu Jijini Dar es salaam leo
Raisi JK
akiwa katika Picha ya pamoja na viongozi wa Club y Lions waliofika Ikulu
Jijini Dar es salaam leo kushiliki hafra ya kumtunuku Raisi medali
maalum ya Uongozi bora na mahusiano mema.(Awadh Ibrahim)
0 comments :
Post a Comment