-->

C.RONALDO APIGA HAT-TRICK NYINGINE,AIONGOZA REAL MADRID KUUTAFUNA MFUPA ULIOMSHINDA MANCHESTER UNITED

Cristiano Ronaldo Real Madrid Real Sociedad La Liga 11092013Real madrid hapo jana ilfanya kufuru ya kumtandika Real Sociedad mabao 5-1 katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Bernabeu.katika mechi hiyo C.Ronaldo alipiga goli tatu na kumfanya afikishe goli 16 katika msimamo wa wafungaji wa Lliga katika msimu huu akifuatiwa na Diego costa mwenye magoli 13 huku Messi ambae amekuwa mpinzni mkubwa wa Ronaldo akiwa na goli 8 tu katika msimu huu.Magoli ya Real madrid yalikuw kama ifuatavyo;dakika ya 12 C.Ronaldo alipiga goli,dakika ya 18 Kari Benzema alipiga bao la pili,dakika ya 26 Ronaldo alipata bao tatu kupitia njia ya penati,dakika 32 Sami Khidira alipiga bao la nne la mchezo huo na dakika ya 76 Ronaldo alipiga bao la tano na likawa bao la kufungia mlango wa bao kwa upande wa Real madrid huku baola kufutia machozi kwa upande Real sociedad likifungwa dakika ya 61 na Antoine Griezmann.Real sociedad walitoka sare na Manchester united katika mechi ya vilabu vya ulaya wiki iliyopita.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

  1. Viongozi wa Simba, nini mnafanya? Mlimuacha Tanzania one (Kaseja J. Kaseja) kisa ameshuka kiwango, Kelvin Yondani mlimwacha pia, Leo Kibadeni anakuja na kauli ya wachezaji kuhujumu timu, Hivi kati ya Uongozi, Kocha na wachezaji ni nani anaye IHUJUMU SIMBA?

    ReplyDelete