Sehemu ya
mabaki ya Helikopta baada ya kuanguka Ajali ya Helicopter ambayo
imedaiwa kuwa ni mali ya Maliasili na Utalii imegharimu maisha ya
marubani 3 wa Jeshi la Polisi Tanzania. Sp Kidai Kaluse, Insp.Simba Must
Simba, Pc. Josso Selestine, Na rubani mmoja Capt. Khalfan,Ajali hiyo
imetokea huko Kipunguni B Moshi Bar,Ukonga-Ilala jijini Dar es Salaam.
Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
akifafanua jambo mbele ya Vyombo vya habari katika eneo la
ajali,kufuatia kutokea kwa ajali hiyo iliyopelekea vifo vya watu wanne.
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaa,Mh.Sadick Meck Sadick akizungumza mbele
ya Vyombo vya habari katika eneo la ajali,kufuatia kutokea kwa ajali
hiyo iliyopelekea vifo vya watu wanne
Baadhi ya Wataalamu wakifanya uchunguzi wa chanzo cha ajali hiyo ya Helikopta.
Baadhi ya watu wakishuhudia mabaki ya helikopta hiyo iliyopata ajali maeneo ya Kipunguni B Moshi Bar,Ilala jijini Dar es Salaam
0 comments :
Post a Comment