Barua inayosemekana imetolewa na shekh mkuu wa wilaya shekh Abdulkadir Mohammed Ramiya ameisoma barua hiyo kwa waandishi wa habri kukanusha kwamba wao kama mashekh wa bagamoyo hawakwenda kwa Lowasa na pia hawawatambui mashekh wanaoitwa mashekh wa Bagamoyo waliokwenda huko kwa Lowasa kumpa pesa ya fomu na kumomba agombee uraisi
Barua yenyewe hii hapa
0 comments :
Post a Comment