Watu 38 wanaripotiwa kufa Kaskazini Magharibi
mwa Tanzania katika mkoa wa Shinyanga kutokana na mafuriko
yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia March tatu
ikiambatana na upepo mkali.
Kamanda wa polisi mkoani
Shinyanga ameiambia BBC kuwa baadhi ya waliokufa ni kutokana na
kuangukiwa na nyumba na miti kutokana na mafuriko hayo.
Mwandishi wa BBC Leonard Mubali amezungumza na Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga Justus Kamugisha
0 comments :
Post a Comment