Jengo lililopo ndani ya Msikiti wa Soweto Limeteketea kwa moto Mapema leo chanzo hakijafahamika bado Moto huo umeteketeza nyumba yote, japo kuwa wananchi na waumini walijitahidi kuzima lakini ulionekana ni mkubwa sana, Hata hivyo wananchi wamelaumu Kikosi cha zimamoto kwa kuwa walipewa taarifa mapema lakini hawakuweza kufika kwa muda katika eneo hilo. Endelea kufuatilia tukio hili hapa kwa taarifa zaidi.
Na Mbeya yetu.
0 comments :
Post a Comment