-->

BAADA YA RADIO,TV SASA THE ISLAMIC FOUNDATION YAJA NA GAZETI


TAASISI ya The Islamic Foundation, imekabidhiwa rasmi kibali na Wizara ya Habari, Michezo na Utamaduni cha kuanza kuchapisha Gazeti la Imaan.

Akizungumza na dira ya habari Kiongozi Mwandamizi wa Radio na Tv Imaan Ally Ajiran amesema kuwa wamepata kibali pamoja na Usaji wa Gazeti hilo ambalo litakuwa chini ya Taasisi hiyo

Aidha Ajiran amesema kuwa gazeti hilo litaanza kutoka kila siku ya jumatatu na kuwataka wananchi kuendelea kusikiliza Radio na Tv imaan ili kujua ni lini Gazeti hilo litakuwa mitaani
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment