Naye Mbunge wa Korogwe
Vijijini, Stephen Ngonyani, alisema yeye alielezwa kuhusiana na safari hiyo na rafiki yake Vioroka Kajoko.

“Nimekuwa katika jumuiya hii
kwa miaka 15. Siko tayari kuchaguliwa kiongozi, marafiki wala maadui. Mimi siko
tayari uomba radhi kwasababu sina kosa
nililotenda,”alisema Ngonyani.

Alisema hajawahi kumshawishimtu wala kumlazimisha mtu kumpenda mtu anayempenda yeye.
Jackline
Ngonyani aliyejitambulisha kwa Lowassa kama ‘Maji mafupi’ na kutoa
salam za shukrai kwa wana Ruvuma kwa jinsi Lowassa alivyo shiriki katika
mazishi ya Capt.John Komba lakini jana aliwaambia waandishi wa habari
kuwa alilazimishwa kushiriki katika msafara huo. Lakini wenzake wanasema
yeye alikuwa mmoja wa waratibu.
Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi mkoa wa Njombe, Evarist
Lupenza, akizungumza na waandishi wa habari juu ya safari yao kwenda
kwa Lowassa. Pamoja nae ni Mwenyekiti wa Jumuia ya Wzazi mkoa wa Mwanza,
Malila Lugoye.
Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Mkoa wa Dodoma, Dk.
Damas
Mukassa, akiwaonesha waandishi wa habari picha ambayo mjumbe mwenzao
alisema wamelazimishwa kwewnda kwa Lowassa jinsi alivyo kula pozi na
Lowassa.
*********************
VIONGOZI waliotajwa na Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Wazazi ya CCMTaifa, Abdallah Bulembo, kuratibu safari ya baadhji
ya wajumbe wa jumuia hiyo na baraza la Wazazi Taifa kwenda kumsalimia Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa leo wamekanusha vikali
kuhusika na uratibu wa baraza hilo.

Jana Bulembo aliwashukia wajumbe
waliokwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa Zamani, Edward lowassa,na kumchakingaia
fedha na kumshawishi agombee Urais na
kuwataka waombe radhi kutumia jina la baraza hilo na kasha kusubiri kamati ya maadili.

Wakizungumza hii leo baadhi ya
wajumbe hao wamewataja waratibu walioongoza msafara wao kuwa ni pamoja na
Katibu wa CCM Wilaya ya Hanang, Vioroka Kajoro na Mjumbe wa baraza hilo kutoka mkoani
Ruvuma, Jackline Ngonyani na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Mkoa wa Dodoma, Dk.
Damas Mukassa.

Mjumbe wa jumuiya hiyo kutoka
Mkoa wa Njombe, Evarist Lupenza, alisema aliyekuwa akiandika majina ya wajumbe
waliokwenda katika ziara hiyo ni Jackline Ngonyani.

“Niliwasikia wakisema kwa Mzee
ni saa tatu, nikawauliza mnataka kwenda wapi, wakaniambia kuwa wanataka kwenda
kumsalimia Lowassa, name nikaandikisha jina kwa ajili ya kwenda huko,”alisema
Lupenza.

Nae Mwenyekiti wa Jumuia ya
Wazazi mkoa wa Mwanza, Malila Lugoye alibainisha kuwa hakuna mtu
aliyeshinikizwa katika safari hiyo na ilikuwa ni huru kuamua kwenda au kubaki.

“Hakuna mtu aliyeshinikizwa kwenda kwa Lowassa
kila mtu alikwenda kwa mapenzi yake. Na hakuna mtu aliyetumia jina la Jumuiya
wakati tulipokwenda bali watu walijitambulisha mmoja mmoja,”alisema na kuungwa
mkono na Mwenyekiti wa jumuiya hiyo Mkoa wa Mwanza, Malila Lugoye.

Vijijini, Stephen Ngonyani, alisema yeye alielezwa kuhusiana na safari hiyo na
rafiki yake Vioroka Kajoko.
Vijijini, Stephen Ngonyani, alisema yeye alielezwa kuhusiana na safari hiyo na
rafiki yake Vioroka Kajoko.
“Nimekuwa katika jumuiya hii
kwa miaka 15. Siko tayari kuchaguliwa kiongozi, marafiki wala maadui. Mimi siko
tayari uomba radhi kwasababu sina kosa
nililotenda,”alisema Ngonyani.
kwa miaka 15. Siko tayari kuchaguliwa kiongozi, marafiki wala maadui. Mimi siko
tayari uomba radhi kwasababu sina kosa
nililotenda,”alisema Ngonyani.
Alisema hajawahi kumshawishi
mtu wala kumlazimisha mtu kumpenda mtu anayempenda yeye.

Dk Mukassa alisema yeye aliratibu ziara hiyo
kama mwenyeji wa mkoa wa Dodoma ambaye
anakufahamu nyumbani kwa Lowassa.
kama mwenyeji wa mkoa wa Dodoma ambaye
anakufahamu nyumbani kwa Lowassa.
Alisema fedha walizotoa kwa ajili ya
kumchangia kuchukua fomu za Sh 600,000 zimetokana na mchango wao wenyewe kama
wanachama wa kikundi cha kusaidia cha wajumbe wa jumuiya hiyo.

“Fedha zile hazikutoka kwenye
jumuiya ya chama wala hakuna aliyekwenda pale kuwakilisha jumuiya na
niliwaeleza pale mliponiuliza na kila mtu alijitambulisha kama yeye,”alisema

0 comments :
Post a Comment