-->

JOSHOA NASSARI AMDHIHAKI KINANA BAADA YA KUKUPATA WATU WACHACHE KWENYE MKUTANO WA JIMBO LA ARUMERU



Joshua Nassri kupitia ukurasa wake wa facebook ameandika maneno haya yafuatayo
"Pole sana comrade Kinana. Hii ndo Arumeru. Watu wanaoishi huku wakisema Hapana huwa wanamaanisha na wanasema kwa herufi kubwa. Walishakataa Kuwa sehemu ya dhuluma, mateso na dhambi kwa taifa lao.
Ndio maana mwaka 1952 walichanga fedha wakamtoa na kumtuma mtanganyika wa kwanza kwenda UNO wakati huo New York Marekani kudai ardhi yao.
Pole Kwa kukosa watu kabisa na kushindwa kufanya kabisa mkutano wa hadhara tengeru, lakini pole pia kwa kuhutubia uliokuwa nao kwenye msafara kwenye vijiji vingine uliyokwenda leo Arumeru"
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment