Nchini
indonesia katika kijiji cha Tana Toraja, maiti huwa zinafufuliwa na
Kubadilishwa nguo, zoezi hili hufanyika kila mwaka baada ya maiti
kuzikwa, na wanafamilia ndio huifanya kai iyo;Mara nyingi mtu anapo kufa
huwa wanamzika katika sehemu aliyo zaliwa na sio aliyokufia so kila
baada ya mwaka humfukua na kumbadilisha mavazi, hii ni moja kati ya mila
zao wenyewe
SOURCE:TRIGGSPOT
0 comments :
Post a Comment