Raia wa Nigeria wameshazoea kuwa rais
anayeongoza hawezikushindwa katika uchaguzi
wa Nigeria!
Lakini leo Nigeria imefungua ukurasa mpya.
Rais aliyeko madarakani Goodluck Jonathan
amesalia akijutia maamuzi yake baada ya raia
wa taifa hilo kubwa zaidi Afrika kiuchumi
kumpigia kura mpinzani wake mkuu Muhammadu
Buhari .
Hizi hapa sababu 5 ambazo zinaelezea kwanini
raia wa Nigeria walimng'oa Goodluck Jonathan
mamlakani.

Haikuwa rahisi kuiba kura
Katika Uchaguzi uliopita mwaka wa
2007 ,tuhuma za wizi wa kura za urais ziliibuka
huku wadadisi na wachunguzi wakuu wakisema
waziwazikuwa kura hazikuwa za huru wala haki.
Ripoti ya wachunguzi huru katika uchaguzi wa
mwaka wa 2011 ilisema kuwa haukuwa wa uhuru
japo ilisema kuwa idadi ya wizi ilikuwa
imepungua mno.
Kufuatia ripoti hiyo tume huru ya uchaguzi nchini
humo ilijiandaa na kuziba mianya iliyokuwa
imebainika.
Tume hiyo ilinunua mashine za kuwasajili wapiga
kura kwa njia ya kielektroniki na ving'amuzi
vilivyotumika kubaini data ya mpiga kura.
Chama cha rais Goodluck Jonathan People's
Democratic Party (PDP) kilikuwa kimepoteza
ufuasi mkubwa katika majimbo yaliyokuwa
ngome yake.

2 Boko Haram
Uchaguzi huo umetangazwa huku raia wengi wa
Nigeria wakikabiliwa na changamoto ya usalama
wao haswa wakiwa mijini.
Hii inafwatia tishio la kundi la wapiganaji wa
kiislamu wa Boko Haram ambao walikuwa
wanaonekana ni kama wameishinda maarifa
vyombo vya usalama wa kitaifa.
Boko Haram iliwaua zaidi ya watu elfu 20,000 na
kuwalazimisha wenyeji zaidi ya milioni tatu
kutoroka makwao.
Rais Jonathan hakuwa na jibu dhidi yao na
alionekana mnyonge hadi majuzi majeshi ya
muungano wa mataifa jirani yaliposhirikiana na
jeshi la Nigeria na kuwavamia wanamgambo hao
wa kiislamu.
Kura hizi zimefanyika zaidi ya majuma 6 baada
ya kuahrishwa kufuatia tishio la kundi hilo
lililokuwa limeapa kusambaratisha uchaguzi.

Muungano wa Upinzani
Chama cha PDP kiliundwa kwa muungano wa
viongozi kutoka matabaka ya kaskazini na vilevile
kusini mwa taifa hilo.
Hata hivyo kufuatia utepetevu wa rais Jonathan
viongozi wengi waliokuwa nguzo ya umoja huo
walitawanyika.
Muungano wa viongozi wa upinzani chini ya
nembo ya chama cha All Progressives Congress
(APC)kuliwasaidia kukusanya kura zote katika
kapu moja.
Kampeini za chama tawala zilikumbwa na madai
ya hiyana na unafiki lakini vyama vya upinzani
havikulegeza kamba .

Uchumi mkubwa zaidi Afrika
Ijapokuwa Nigeria inasifika kuwa taifa kubwa
zaidi barani Afrika kiuchumi ,ukiwauliza raia wa
Nigeria iwapo wamenufaika kwa njia yeyote ile
watakuambia kuwa hawajanufaika kwa hali
yeyote ile.
Takriban nusu ya raia wa nigeria wanaishi kwa
hali duni ya uchochole na umaskini.
Wengi wao wanalaumu ufisadi wa viongozi na
ubadhirifu wa mali ya umma.
Uchumi wa Nigeria umekuwa kwa kiwango cha
asilimia 5% kwa mwaka kutokana na mauzo ya
mafuta lakini raia wengi hawakutaka kuendelea
na utawala wa Goodluck.

Ni wakati wa Mabadiliko
Wafuasi wa chama cha upinzani APC walichagua
kibwagizo chao kikuu kuwa ''Mabadiliko''.
Na huenda wanigeria hawakuwa wanataka
kuendelea na hali ilivyokuwa wakati huu.
PDP imekuwa madarakani tangu mwaka wa 1999,
utawala wa kiimla ulipomalizika.
Mwaka huu 2015 Wapiga kura wameamua
kumchagua kiongozi atakayekuwa na msimamo
dhabiti na uwezo wa kukabiliana dhidi ya
matatizo chungu nzima yanayowasakama
Hata hivyo kinachosubiriwa na wengi ni kuona
iwapo rais Buhari ataleta mabadiliko kweli
alivyowaagiza wapiga kura.

0 comments :
Post a Comment