KWA MUJIBU WA MBUNGE WA JIMBO HILO LA aRUMERU Mh Joshua Nassari ameandika
"Hatimaye leo nimefanikiwa kuwatoa kwa dhamana Jumla ya wananchi 30 kutoka kijiji cha maroroni ambao walipigwa Mabomu na kuwekwa ndani siku ya ijumaa kwa sababu ya mgogoro wa ardhi ya shamba la ACU Valesca. Siku ya jumapili niliwatembelea wote magereza kisongo na Mke wangu akawapelekea Chakula.
Jana nilifanya utaratibu wa removal order na leo wote wameletwa mahakamani maji ya chai na tumewadhamini wote. Sasa ninaweza kwenda bungeni dodoma, nisingeweza kwenda bungeni kwenye kiyoyozi alafu nikawaacha wananchi wenzangu wa jimbo ninaloliongoza wazee mpaka wa miaka 60, wakinamama na Vijana wakiwa magereza kisongo.
Leoleo nimezungumza na waziri Lukuvi ili serikali ipime na kugawa Mara moja ekari 1500 ambazo mwaka jana walipewa Rasmi wananchi wa vijiji vitatu. Valesca , Kwa Ugoro na Maroroni wapate Haki na mgogoro uishe."

0 comments :
Post a Comment