Aliyewahi kuwa kocha msaidizi wa Taifa stars na kocha mkuu wa Kagera
Sugar mwalimu Silvestre Marshi hatunaye tena duniani . . Kocha huyo
alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa kipindi kirefu
Poleni ndugu na jamaa pamoja na familia nzima ya tasnia ya mpira.
Pumzika kwa amani Marsh,wote tupo njia moja
0 comments :
Post a Comment