Simba waendelea kung'aa kwenye uwanja wa taifa kwa kumfunga Mtibwa Sugar ba 1 kwa 0 mchezo uliochezwa jijini Dar es salaam katika uwanja wa taifa.Mfungaji aliiua Yanga katika mechi ya tarehe 8/3/2015 Emmanuel Okwi ndio huyo huyo aliyeiua Mtibwa Sugar kwa kupachika bao dakika za lala salam.Emmanuel Okwi amepiga goli la mit 25 baada ya kugeuka na kupiga shuti kali linalozama nyavuni na kuwanyaSimba kuibuka kidedea katika uwanja wa taifa.
Simba 1-Mtibwa 0
Simba 1-Mtibwa 0
0 comments :
Post a Comment