Maneno ya mh mbunge Livingstone Lusinde haya hapa chini
"Kuna kachama kameanzishwa nchini kananisikitisha sana
1. Kameanza kuomba omba hata wiki hakajamaliza tokea karuhusiwe kufanya mkutano wake mkuu ila daah kanatembeza sana bakuli, sasa ninajiuliza ukiwa na mil 300 si unakasajili kachama haka kanakuwa ka kwako, katashindwa kununulika na vyama vyenye pesa kweli?
2. Wanachama wake wanaogombea nafasi za uongozi wa taifa ni wa mrengo
mmoja, yaani wana kazi ya kuondoa mgawanyo huo walio nao ,,, wawaulize
CUF wanavyohangaika kulitatua tatizo jili sugu lisilo na uwakilishi wa
upande mmoja .
3.Wengi wa wanchama wa kachama haka wanatokea mkoa Mmoja hapa nchini, wabiiishi hao hawasikii wala kushauriwa wakiamua kufuata upepo wanaufuata sana, UPEPO wao ukigeuka na wao wanageuka.
Polen sana na kachama kenyu hako ambako kamekuja kuongeza mzigo kwa walipa kodi wa Tanzania."

0 comments :
Post a Comment