-->

JUAN MATA APIGA BAO LA CHIDEO,MAN U WAKIIUA LIVER BAO 2-1

Juan Mata leo ameibuka shujaa kwa Timu ya Manchester baada ya kuifungia magoli mawili timu yake dhidi ya Liverpool katika ushindi wa goli 2-1.

Juan mata akibanjuka na kuifungia Man u kwa staili tamu
Juan mata aliifunga goli la kwanza katika dakika ya 14 ya mchezo na kuongeza jingine katika dakika ya 59 kabla Liverpool kupata goli la kufutia machozi kupitia kwa Sturridge dakika ya 69.

Katika mchezo huo Steven Gerrad alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kumfanyia rafu Herera huku Wayne Roney akikosa mkwaju wa Penati katika dakika za lala salama.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment