-->

SHILINGI YA TANZANIA YAPOLOMOKA THAMANI

Thamani ya shilingi ya Tanzania imeelezwa kuanguka kwa kiasi cha asilimia 7.9, hali ambayo imeelezwa kuchangiwa na sababu za kiuchumi za ndani na nje ya nchi.
Halima Nyanza anaangazia sababu zilizosababisha kuporomoka kwa shilingi ya Tanzania.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment