-->

GIROUD AENDELEA KUNG'ARA EPL,AIPA USHINDI ARSENAL UGENINI

article-3004792-26D8DB6800000578-236_636x472_572dc.jpg
MABAO mawili ya Olivier Giroud, dakika ya 24′, 28′ yametosha kuipa Arsenal ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Newcastle United kwenye mechi ya ligi kuu England. Bao la Newcastle lilifungwa na Moussa Sissoko katika dakika ya 49′. Ushindi huu kwa Arsenal unakuja baada ya kutolewa UEFA jumanne ya wiki hii kwa wastani wa mabao 3-3 dhidi ya Monaco. Mechi ya kwanza walifungwa 3-1 Emirates na mechi ya pili wakashinda 2-0 nchini Ufaransa na Monaco wakasonga kwa faida ya goli la ugenini.
MATOKEO YA MECHI ZILIZOMALIZIKA England – Premier League March 21(P.T)
FT Manchester City 3 – 0 West Bromwich Albion
FT Aston Villa 0 – 1 Swansea City
FT Newcastle United 1 – 2 Arsenal
FT Southampton 2 – 0 Burnley
FT Stoke City 1 – 2 Crystal Palace
FT Tottenham Hotspur 4 – 3 Leicester City
FT West Ham United 1 - 0 Sunderland
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment