Kiongozi
mpya wa chama cha ACT Tanzania Zitto Kabwe, akilakiwa na wajumbe wa
mkutano mkuu wa chama hicho, wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika kwenye
ukumbi wa Kadinali Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es Salaam, Jumamosi
Machi 28, 2015.
Zitto
alichaguliwa kuwa kiongozi wa chama hicho nafasi ambayo kwa katiba ya
chama hicho ndiyo ya juu zaidi. Nafasi zingine ni Mwenyekiti wa chama,
na makamu wake, wa Tanzania visiwani na Tanzania bara, hali kadhalika
nafasi ya ukatibu mkuu na manaibu wake wiwili.
Mama
Anna Mughwira kawa Mwenyekiti wa kwanza wa chama cha @ACTwazalendo na
kuweka rekodi nchini Tanzania. Mwenyekiti wa Taifa mwanamke
Wajumbe wa NEC wa ACT Wazalendo waliochaguliwa
Zanzibar
Halima M Hamis
Said Ismail
Rashid S Ali
Juma Said Saanane
Halua Ali Amali
Tanzania Bara
Marunga Msimba
Ali Mwinyi
Sophia Yamola
Fungo G Benson
Charles Lubala
Godfrey Sanga
Likapo B Likapo
Batulo Ibrahim
Kirungi A Kirungi
Alex Nsanga
Chama hicho kitazinduliwa rasmi Jumapili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Hall jijini Dar es Salaam.
Zitto akionyesha alama ya chama ambayo ni "Uwazi".
Zitto akihutubia wajumbe.
Zitto akihutubia wajumben wakati wa uchaguzi huo.
Wajumbe wakiserebuka, wakati wa uchaguzi huo.
Wajumbe wakifurahi kwa kushikana mikono kuonyesha umoja.
Wajumbe wakipiga kura.
Askofu Gerald Mpango.
Mzee Kasisiko, akiwakilisha waislamu kuomba dua.
Aliyekuwa katibu mkuu wa muda wa ACT-Tanzania, Samson Mwigamba, akihutubia.
Msimamizi wa uchaguzi huo, Profesa Kitila Mkumbo.
About Omari Makoo
0 comments :
Post a Comment