-->

MTOTO WA MIAKA 10 AJIFUNGUA MTOTO SALAMA

KENYA
wakati wanaharakati mbalimbali duniani wakipambana kupinga ukatili kwa watoto,huko nchini kenya mtoto glad chelagat mwenye miaka kumi amepata jukumu la kumlea mtoto,mtoto huyu anakuwa mama mdogo zaididuniani.maajabu haya yalitokea jumamosi iliyopita katika hospitali ya Kericho nchini Kenya.hata hivyo mungu mkubwa kwani mbali na umri wa mtoto huyu kuwa mdogo lakini alijifungua pasipo na matatizo yoyote kama ambavyo ilihofiwa na wataalamu wa afya wa hospitali hiyo
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment