-->

YANGA WAING'ARISHA TANZANIA,KWA KUWACHAPA WAZIMBABWE BAO 5 KWA 1

 Huu ndio Mpira uliotumika katika Mchezo wa leo baina ya Yanga na FC Platinum katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo.
 Kikosi cha Yanga.
 Kikosi cha FC Platinum.CHANZO MTAA KWA MTAA BLOG
 Beki wa Yanga,Kelvin Yondani akiondosha hatari lakoni kwake wakati wa mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Mshambuliaji Machachari wa Timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiichambua ngome ngombe ya Timu ya Fc Platinum ya nchini Zimbabwe katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Yanya imeshinda Bao 5 - 1.
Mchezaji wa Yanga,Simon Msuva akiangalia namna ya kuwatoka mabeki wa Timu ya Fc Platinum ya nchini Zimbabwe katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Yanya imeshinda Bao 5 - 1.
 Mrisho Ngassa akifanya yake uwanjani hapo.
Amis Tanbwe wa Yanga na Gift Bello wa FC Platinum wakiwania mpira wa juu wakati wa mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Salum Telela wa Yanga akiipachikia timu yake bao la kuongoza wakati wa mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

 Wachezaji wa Timu ya Yanga wakishangilia ushindi wao.
 Beki wa timu ya Yanga,Juma Abdul akiangalia nafasi ya kupeleka mpira.
 Simon Msuva akichuana na Gift Bello wa FC Platinum wakati wa mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
 Msuvaaa
 Furaha ya Ushindi: Kiungo mchezeshaji wa timu ya Yanga,Haroun Niyonzima akiongoza mashabiki wa Timu ya Yanga kushangia goli lao dhidi ya Fc Platinum ya nchini Zimbabwe katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la shirikisho,uliochezwa leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo. Yanya imeshinda Bao 5 - 1.






No comments:

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment