Kama wewe ni miongoni mwa wahitaji wa swala hili la kudownload video za facebook lakini unashindwa kwa kuwa hauna software yenye kukusaidia kufanya hivyo basi makala hii ni muhimu kwako kwani kuanzia sasa utaanza kudownload video zote zinazopatikana facebook kwa urahisi kabisa
HATUA ZA KUFANYA
1.Bofya link ya hapo chini kisha nenda sehemu ya kudownload hiyo software.
http://ytddownloader.com/
Ukimaliza kuidownload double click hicho ulichokidownload ili uweze kuinstall kwenye pc yako
2.Ifungua hiyo software yako baaada ya kuinstall kwenye pc yako
3.Play video yoyote facebook ambayo unataka kuidownload
4.copy link ya juu ya video hiyo(url inayaoonekana hapo juu wakati video inaplay)
5.Nenda kwenye software yako ambayo uliifungua kisha paste url kwenye sehemu imeandikwa (PASTE URL) Kabla haujapste utaona ile url inajipaste yenyewe
6.Bofya kwa chini ya hiyo software ambako pameandikwa download
LIKE PAGE YETU YABUSTANI YA HABARI KAMA SHUKRANI
( www.facebook.com/BUSTANIYAHABARI
0 comments :
Post a Comment