-->

MAJINA YA WALIMU WALIOKUBALIWA KUBADILISHIWA VITUO VYA KUANYIWA KAZI(AJIRA MPYA 20014)

 

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA
SERIKALI ZA MITAA
WALIMU WA AJIRA MPYA
2014 WALIOKUBALIWA
KUBADILISHIWA VITUO
AWAMU YA TATU NA YA MWISHO
Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imefanya
mabadiliko ya vituo vya kazi kwa walimu wa ajira mpya (Cheti,
Stashahada na Shahada) kwa mwaka 2014 baada ya kupokea na
kuchambua maombi mbalimbali kutoka kwa walimu walioomba
kubadilishiwa vituo.
Inasisitizwa kuwa walimu wa ajira mpya ambao maombi yao hayajakubaliwa wanatakiwa waende
kuripoti kwenye Halmashauri walizopangiwa na si vinginevyo.
Ikumbukwe kuwa, fedha za kujikimu kwa waliobadilishiwa vituo zipo
kwenye Halmashauri walizopangwa awali. Malipo yatafanyika baada ya
mawasiliano kati ya Wakurugenziwa Halmashauri ya awali na walizobadilishiwa.
Mwisho wa kuripoti unabaki kuwa ni tarehe 10/04/2014 kama ilivyotangazwa awali.
Hakutakuwa tena na mabadiliko ya vituo vya kazi. Hivyo, walimu wote
wanatakiwa kuripoti katika vituo vyenu vya kazi.
Tunawatakia kazi njema. 07 Aprili 2014
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment