MATUKIO ya mauaji ya kikatili yameendelea kushamiri mkoani Rukwa, baada
ya watu wasiojulikana kumuua kikatili mtu mmoja kwa kumchinja na
kutokomea kusikojulikana na kichwa cha mtu huyo.
Mwenyekiti
huyo aliongeza kuwa watu hao baada ya kufanya mauaji hayo walikwenda
kumtupa kwenye eneo hilo ambapo asubuhi ya kuamkia leo ndio kiwiliwili
chake kilibainika kuwepo hapo lakini hakina kichwa kwani waliondoka
nacho.
Kwa upande wake, Kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema kuwa polisi inaendelea kuwasaka watu waliohusika na tukio hilo hili hatua ziweze kuchukuliwa.
Kwa upande wake, Kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema kuwa polisi inaendelea kuwasaka watu waliohusika na tukio hilo hili hatua ziweze kuchukuliwa.
CHANZO:KANDORO DADY COOL
0 comments :
Post a Comment