-->

VIONGOZI WA CHADEMA WATINGA POLISI DODOMA BAADALA YA KUSIKIA KUWA SUGU ANATAFUTWA NA POLISI

935165_484821214924943_1643712272_nBaada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.

Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.

Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.

Tutawajulisha kitakachojiri

Ni saa tatu kasoro usiku, bado tuko polisi tangu saa kumi na moja kasoro.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment