Raia wa mmoja kutokea Nigeria,Aliefahamika kwa jina la Anthonia Ojo mwenye umri wa miaka25.Alikamatwa na kete 99 za dawa za
kulevya.Alikukamatwa na dawa hizo za kulevya maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA) Dar es Salaam hapo jana, akielekea Roma, Italia kupitia
Paris, Ufaransa kwa ndege ya shirika la ndege la Ethiopia.
Msichana huyo kutokea nchini Nigeria aliingia nchini Agosti 30 mwaka huu.Anthinio Ojo anaendelea amewekwa rumande na kuachia uchunguzi ukifanyika kwa Mkemia Mkuu wa Serikali ili kuweza kutambua aina ya dawa hizo alizokutwa nazo, thamani yake kisha atafikishwa mahakamani baada ya kukamilika kwa uchunguzi huo.
.
SOURCE:HABARI LEO

0 comments :
Post a Comment