Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Afya
(Annual Health Summit ) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 14, 2014.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Afya (Annual Health
Summit ) wakimsikiliza Waziri Mkuu,Mizengo Pinda wakati alipofungua
mkutano wao kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es salaam Novemba14, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
0 comments :
Post a Comment