-->

AMA KWA HAKIKA TAREHE 8/11/2014 ILIKUWA HISTORIA



with my belove mam

wakwanza ni Mzee Abdallah Kimaro akiwa Pamoja na Halid Chikong'ona(alieshika zawadi) akifuatiwa na mzee Makoo pamoja kareem chindemaNI SIKU AMBAYO ILINIKUTANISHA NA MWANASIASA MKONGWE PIA NI SIKU AMBAYO ILINIKUTANISHA NA RAFIKI ZANGU WA JABAL HIRA(kareem Chindema na Suleiman Mponda)PIA ILINIKUTANISHA NA MARAFIKI ZANGU WA LUGOBA(Abuu Kimera na Salehe Abasi)
Pia ilinikutani na marafiki zangu wa nyumbani ambao tulisota wote kwenye kuitafuta elimu mpaka tukafika tulipofika.....
SHUKRANI KWA WOTE MLIOJUMUIKA NAMI KATIKA SIKU HII ADHIMU
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment