Tukio hili la kusikitisha limetokea
Mkoani Iringa ambapo mwanamke mmoja alijifungua mtoto na kisha
kumdumbukiza katika tundu la choo. Mtoto huyo alizaliwa nyumbani sio
hospitali baadae siku ya tarehe 04/11/2014 mama huyo alimdumbumiza
kichanga hiko jinsia ya Kiume chooni.
Mama huyo alietambulika kwa jina la
Magdalena inasemekana lengo kuu la kufanya kitendo hiko cha kikatili ni
kuficha ukweli kwa mume wake aliekua safarini kuwa amezaa. kwani tabia
yake imekua ni kutoka na wanaume wengine pindi mumewe akiwa hayupo na
this time alinasa. ili kujinasua akaamua kudumbukiza mtoto chooni na
yeye abaki kuwa mwanamke kwema mbele ya macho ya mumewe.
Mtoto huyo alidumbukizwa chooni
jion/usiku wa tarehe 04 na kuokolewa asubuhi yake tarehe 05/11/2014
(leo) baada ya majirani kusikia sauti za kilio cha mtoto mchanga. Mtoto
huyo yuko hospitalin kwa sasa huku mama yake akishikiliwa na polisi mwa
mahojiano zaidi.
0 comments :
Post a Comment