-->

TAFRIJA FUPI YA WAHITIMU WA CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO YAFANA,MASHEKH MBALI MBALI WAHUDHURIA

 HIZA MAMBO NA OMARI MAKOO(Mmiliki wa BUSTANI YAHABARI) wakiwa kwenye tafrija
 
Kisha shekh Mbaraka Wazir(imam wa masjid salafiya)maarufu sana kupitia kipindi cha radio imaan kiitwacho Adhauku wa shauk(maswali na majibu) alifungua mlango wa mawaidha kwa kuwaasa wahitimu na kuwapatia zawadi ya tafsiri ya Qur'an kwa kila mhitimu



 Kabla ya Mc kufunga hafla hiyo alimuomba Ustadh Jaffar Mponda kuwasalim waliohudhuria kwenye hafla hiyo,nae bila kusita aliwasalim kwa shairi matata
                                                Picha baada ya kumalizika hafla hiyo
                                   mwisho waandazi wakaingia uwanjani na kushusha walima
Kisha Kaka wa familia ndugu Yusuph Makoo aliwashukuru watu wote waliofika kwenye tafrija hiyoo na kuwaombea dua kwa Allah awalipe badala
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment