Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Lindi mjini kwenye uwanja wa Ilulu wilaya ya Lindi mjini.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Lindi mjini
ambapo aliwaambia CCM inasimamia uwajibikaji na kama mtu amekosea
awajibike na akishindwa atawajibishwa mapema.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Lindi mjini
ambapo aliwaambia wananchi hao CCM ni chama pekee chenye mfumo ulioanzia
chini hivyo watu waache unyonge Serikali hii ni ya CCM.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapa pongezi vijana Lindi
waliojiunga na UVCCM mkoa wa Lindi kwenye uwanja wa michezo wa Ilulu
wilaya ya Lindi mjini mkoa Lindi.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Lindi mjini
kwenye uwanja wa michezo wa Ilulu wilaya ya Lindi mjini ambapo
aliwaambia wananchi wa Lindi ni muda wa kuwaondoa wapinzani kwenye
uchaguzi wa serikali za mitaa mwezi Desemba mwaka huu kwa kuipigia kura
CCM.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisoma Katiba iliyopendekezwa kwa
wananchi wa Lindi mjini kuwapa elimu wananchi juu ya mambo ya msingi
hasa maadili katika Katiba iliyopendekezwa .
Mkuu wa wilaya ya Lindi Nassoro
Ally Hamidi akihutubia wananchi wa Lindi kwenye mkutano wa hadhara wa
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye uwanja wa michezo wa
Ilulu mkoani Lindi.
Wafanyabiashara ndogo ndogo wakiuza bidhaa zao za vyakula wakati wa mkutano wa CCM kwenye uwanja wa Ilulu.
Balozi Abdul Mohamed akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM kwenye shina lake namba 2 Rahaleo wilaya ya Lindi mkoani Lindi
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa shina namba
mbili kwa Balozi Abdul Mohamed wa Raha leo ,wilaya ya Lindi mkoani
Lindi.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) akiwa ameketi chini na
wanachama wa shina namba 2 Raha leo kwa Balozi Abdul Mohamed wilaya ya
Lindi mjini.
Katibu Mkuu wa CCM akipandisha bendera ya CCM kwenye Shina la wakereketwa la Wanya Kahawa Lindi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wanachama wa shina la CCM la Wanywa Kahawa Lindi.
Hii ndio ilivyokuwa mitaa ya Lindi.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki uvuvi kwenye mradi wa
ufugaji samaki wa ASM Trading 2005 mradi ambao umetoa ajira kwa vijana
10 wa manispaa ya Lindi.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi wa dini wa
mkoa wa Lindi alipotembelea mradi wa ufugaji samaki wa ASM Trading 2005
mradi ambao umetoa ajira kwa vijana 10 wa Manispaa ya Lindi,
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishirikiana na viongozi wa CCM
wilaya ya Lindi mjini pamoja na wananchi kubeba zege kwa ajili ya kuweka
zege ya nyumba ya Mwalimu wa shule ya msingi Nanyanje.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki palizikatika shamba la
kikundi cha kuzalisha mbegu bora ya mihogo Chikonji wilaya ya Lindi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuchimba mtaro wa maji kijiji cha Mnazi Mmoja mkoani Lindi
0 comments :
Post a Comment