Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba kiungo wa klabu ya Simba
Jonas Mkude amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu ndani ya klabu hiyo
baada ya kukubali dau la milioni 60, gari pamoja na mshahara mara tatu
ya ule wa awali aliokuwa analipwa.
Mkataba wa awali wa Mkude ambaye amekulia kwenye timu ya vijana ya Simba
ulibakiza miezi sita tu, kitu kilichofungua milango kwa vilabu vya Azam
pamoja na Yanga kuhusishwa kutaka saini ya kiungo huyo mkabaji
0 comments :
Post a Comment