Balozi
wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula akimjulia hali Rais Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi kabla ya Rais Kikwete kuanza mazoezi ya
kutembea jana tarehe 9 Novemba 2014. Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Daktari Bingwa Mpasuaji Edward
Shaeffer muda mfupi kabla ya kuingia kwenye chumba cha upasuaji.Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akielekea chumba cha upasuaji katika
hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland Marekani Jumamosi
asubuhi.Upasuaji huo uliochukua muda wa saa moja na nusu ulifanyika
salama.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akizungumza na Dkt. Edward Shaeffer (kulia kutoka hospitali ya
Johns Hopkins) na Daktari wa Rais Mohamed Janabi (kulia) muda mfupi
baada ya kuwasili katika Hospitali ya Johns Hopkins ambapo alifanyiwa
upasuaji.
0 comments :
Post a Comment