-->

WABUNGE WAPATA HUDUMA ZA AFYA BURE KUTOKA AGA KHAN

Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi John Komba akipimwa urefu kwenye viwanja vya Bunge na jopo la madaktari kutoka hospitali ya Aga Khan. Zaidi ya wabunge 200 pamoja na wafanyakazi wa bunge walipata semina ya afya pamoja kupima afya zao bure mwishoni mwa wiki kwenye zoezi ambalo liliongozwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh.


Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mh. Margaret Sitta akichukuliwa damu kwa ajili ya vipimo na mshauri wa afya kutoka hospitali ya Aga Khan kwenye jengo la Bunge. Zaidi ya wabunge 200 pamoja na wafanyakazi wa bunge walipata semina ya afya pamoja kupima afya zao bure mwishoni mwa wiki kwenye zoezi ambalo liliongozwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh.Seif Rashid.
Waziri wa Ofisi ya Rais, Prof. Mark Mwandosya akijiandaa kupimwa urefu na mshauri wa afya kutoka hospitali ya Aga Khan kwenye jengo la Bunge. Zaidi ya wabunge 200 pamoja na wafanyakazi wa bunge walipata semina ya afya pamoja kupima afya zao bure mwishoni mwa wiki kwenye zoezi ambalo liliongozwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh.Seif Rashid.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment