Watu wengi wamekuwa wakitamani kuona blog zao hazina muonekano wa blog tena bali website,lakini hawajua wafanyaje ili waweze kufanikisha malengo yao hayo,Basi tambua leo upo sehemu sahihi itakayokuwezesha kuluhamisha kutoka blogspot kwenda dot com.
ILI UWEZE KUFANIKISHA HILO FANYA HAYA YAFUATAYO
1.Uwe na blog ambayo unataka kuihamisha kwenda dot com(www.jinalako.com)
2.Uwasiliane nasi ili uweze kupata huduma hiyo
3.Unalipia shilingi 70000/= ili uweze kuhamishwa
4.NI KUFURAHIA MUONEKANO MPYA

0 comments :
Post a Comment