-->

ZITTO KABWE:MAHAKAMA YATOA ZUIO KUJADILI RIPOTI YA ESCROW,LAKINI PAC ITAWASILISHA RIPOTI YAKE KAMA ILIVYOPANGWA

KUTOKEA KWENYE AKAUNTI YA ZITTO KABWE FACEBOOMaandalizi ya mwisho ya ripoti
Masaa manne yaliyopita alituma post hii
"Madaraka na Haki za Bunge
100.-(1) Kutakuwa na Uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge na Uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika Mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge
Kesho tarehe 26 Novemba 2014 Bunge litajadii Taarifa ya PAC kuhusu uchotwaji wa Fedha kutoka akaunti ya ‪#‎TegetaEscrow‬"


 Masaa sita yaliyopita alituma post hii
 Mahakama imetoa zuio la kujadili Taarifa ya CAG kuhusu ‪#‎TegetaEscrow‬. Hata hivyo PAC itawasilisha Taarifa yake kwa mujibu wa Ratiba ya Bunge hapo kesho


Masaa14 yaliyopita alituma post hii
Bunge haliwezi kupewa zuio wakati mkutano ukiendelea. Injunction itoke au isitoke Taarifa ya PAC itaingia. Majaji wasome Katiba na Sheria ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment