Mshambuliaji
wa Arsenal Welback akiwania mpira na mlinzi wa Man United katika mchezo
uliomalizika kwa Arsenal kufungwa bao 2-1 ligi kuu ya England katika
uwanja wa nyumba wa timu ya Arsenal, Emirates.
Kepteni wa Manchester united Wayne rooney akishangilia bao lao la kujifunga katika mchezo wao na Arsenal.Wachezaji wa Man United wakipongezana kwa Ushindi waliupata pamoja na kuwa na kikosi kibovu sana. Wameitandika Arsenal Nyumbani kwake Emirates usiku wa jana kwa bao 2-1 katka mchezo wa Ligi Kuu nchini Uingereza.
Rooney akishangilia bao lake baada ya kuifunga Arsenal bao la pili na kufanya 2-1 dhidi ya Wenyeji Arsenal katika Uwanja wa Emirates.Kipindi cha pili katika dakika ya 56 mchezaji wa Arsenal, Gibbs alijifunga bao na kuifanya Man United kupata bao la kuongoza.
Mchezaji wa Zamani wa Man United, Welback kulia kwa sasa akiitumikia Arsenal akibadilishana mawazo na mlinda mlango wa Man United baada ya mchezo kumalizika

0 comments :
Post a Comment