Baba mzazi wa mtoto huyo baada ya kuona afya ya mtoto wake inazorota aliamua kuchukua jukumu la kununua CCCTV na kuifunga ndani ya nyumba yake lakini msichana huyo mfanyaka kazi wa ndani hakuweza kugundua kazi ya CCCTV na kufuchua vitendo vya utakali alivyokuwa anafanyiwa kwa mtoto wake.
HAPA CHINI NI VIDEO INAYOONYESHA UKATILI WA KIWANGO CHA JUU NAMNA ALIVYOKUWA AKIMTESA MTOTO HUYO.
0 comments :
Post a Comment